Elimu Yenye Mwongozo | Education with Guidance
Ilala Islamic ni shule ya Kiislamu iliyopo Ilala - Mtaa wa Arusha, Masjid Shafii. Tunatoa elimu ya Sekondari na Malezi kwa wanafunzi wa Kidato cha Kwanza hadi Sita. Ni shule ya bweni na kutwa.
Mahafali ya Kidato cha Sita 2024, Ziara ya Kimasomo Mkoa wa Tanga, Clinic ya Elimu, na Maonyesho ya Taekwondo.
Tazama picha mbalimbali za wanafunzi na matukio ya shule yetu kupitia kurasa zetu za kijamii.
Fomu za kujiunga zinapatikana kwa Tsh 20,000. Wasiliana nasi kwa simu au WhatsApp.
Email: ilalaislamic@gmail.com
Simu: 0745 000 006